THE REGISTERED TRUSTEES OF MAAHAD SHAMSIL MAARIF ISLAMIYYAH, NO. 2072.

Latest News

Contact Info

Taarifa za Mradi

  • Jina la Mradi:
    Ujenzi Wa Bweni
  • Hali:
    Unaendelea
  • Sambaza:

Maelezo ya Mradi

Kulingana na upungufu wa bweni la kulala wanafunzi Taasisi pamoja na chuo imeanzisha mradi wa ujenzi wa bweni la kulala wanafunzi litakalo kuwa na vyumba themanini (80) vya kulala litakapokamilika

Endapo mradi huu utakapokamilika tatizo la vyumba vya kulala litakuwa limetoweka kwa sababu chuo kitakuwa na uwezo wa kubeba wanafunzi Zaidi ya Eflu Tatu (3000)

Mradi huu utagharimu kiasi cha pesa za kitanzania Bilioni Sita Milioni Mia Nne Khamsini na Moja Laki Tano Elfu Sitini na Nne Mia Tano Themanini na Nane na Senti Sitini na Tano (Tshs.6, 451,564,588.65) mpaka kukamilika lakini kulingana na gharama kubwa iliyopo na uhitaji wa haraka wa bweni kubwa la kulala wanafunzi Taasisi pamoja na chuo imeugawa mradi huu katika awamu kuu nne

Gharama za mradi awamu ya kwanza ambayo ndiyo tunaishughulikia kwa sasa ni kiasi cha pesa Tshs Bilioni Mbili Milioni Mia Nane Ishirini na Nane,Laki Sita Tisini na Tisa Elfu na Mia Nne na Saba Senti Khamsini(Tshs.2,828,699,407.50)

Mchanganuo wa gharama hizi tayari tumeshauandaa kama upo tayari kutoa msaada na unataka uwainishaji wake piga simu kwa katibu au Mudiir wa MAAHAD SHAMSIL MAARIFL ISLAMIYYAH

Unaweza kutuma mchango huu kupitia:-

Account ya Taasisi NMB BANK 41702507115 - SHAMSIL MAARIFA

Au LIPA NAMBA 6100022(TIGO) SAMIRU HEMEDI

LIPA NAMBA 1231594 (AIRTEL) SHAMSIL MAARIFA